Monday 5 October 2015

SAMIA AAHIDIWA KURA ZA KISHINDO NA KINAMAMA WA SIMIYU

Mgombea mwenza wa urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan akivishwa vazi la heshima na kinamama wa mkoa wa Simiyu
Kazi ya kumvisha vazi hilo mama Samia ikiendelea
Akivishwa shanga shingoni
Akitoa neno la shukurani
Akipunga hewani usinga aliokabidhiwa na kinamama hao
Akiwa ameshika usinga na kibuyu
Samia akihutubua mkutano wa hadhara
Sehemu ya umati wa wananchi waliohudhuria mkutano huo

No comments:

Post a Comment