![]() |
Balozi wa Tanzania nchini Israel Mhe. Masima akijitambulisha kwa Rais wa taifa hilo Mhe. Reuven Rivlin kabla ya kuwasilisha hati zake za utambulisho |
![]() |
Balozi wa Tanzania nchini Israel Mhe. Masima akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Taifa la Israel Mhe. Reuven Rivlin Ikulu ya nchi hiyo mjini Jerusalem |
![]() |
Balozi wa Tanzania nchini Israel Mhe. Job Masima akiwa katika mazungumzo na Rais wa Taifa la Israel Mhe. Reuven Rivlin Ikulu ya nchi hiyo mjini Jerusalem. |
No comments:
Post a Comment