Thursday, 7 January 2016

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUTETA NA JK

RAIS Dk. John Magufuli akimkaribisha Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete, Ikulu, mjini Dar es Salaam, jana. (Picha na Ikulu).
RAIS Magufuli akiwa katika mazungumzo na Rais mstaafu Jakaya Kikwete, Ikulu, Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment