Tuesday, 5 January 2016

WAZIRI UMMY ATEMBELEA WAGONJWA HOSPITALI YA GEITA



WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, akimjulia hali mama aliyejifungua na kulazwa kwenye wodi ya wazazi katika Hospitali Teule ya Rufaa ya Mkoa wa Geita, juzi. (Picha na Catherine Sungura wa WAMJW).

No comments:

Post a Comment