Monday 11 April 2016

BREAKING NEWSSSSSSS. RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA, ANNE KILANGO


RAIS Dk. John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango Malecela.

Habari za kuaminika zilizopatikana leo asubuhi zimeeleza kuwa, Rais Magufuli ametengua uteuzi huo baada ya mkuu huyo wa mkoa wa Shinyanga, kutoa taarifa za uongo kuhusu watumishi hewa kwenye mkoa wake.

Anne, alikaririwa hivi karibuni akidai kuwa, hakuna mtumishi hewa kwenye mkoa huo, lakini uchunguzi uliofanyika baadaye ulibaini kuwepo kwa watumishi hewa 40.

Habari zaidi tutawaletea hapo baadaye.

No comments:

Post a Comment