Tuesday 5 April 2016

RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MASILINGI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Marekani Mhe,Wilson M.Masilingi alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Marekani Mhe,Wilson M.Masilingi alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.

[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment