Saturday, 5 September 2015

SAMIA ATEMA CHECHE JIMBO LA KIBAMBA

Wananchi wakimshangilia mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama Samia Suhlu Hassan alipowasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Mbezi Centre,  jimbo la Kibamba wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ua CCM, Mama Samia Suluhu, akiwasalimia wananchi, alipowasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye Vwanja vya Mbezi Centre, jimbo la Kibamba, Dar es Salaam.

 Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia, akiwa tayari kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo Viwanja vya Mbezi Centre, jimbo la Kibamba wilayani Kinondoni mkoani Dar es Salaam,  Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na kushoto ni Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCm jimbo la Kibamba Dk. Fenela Mkangara.

  Wananchi wakimshangilia mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama Samia Suhlu Hassan alipowasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Mbezi Centre,  jimbo la Kibamba wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge akishangaa umati wa wananchi waliofurika kwenye viwanja vya Mbezi Centre, jimbo la Kibamba, wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM uliofanyika katika wilaya hiyo leo
 Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yussuf Mwenda akiwahutubia wananchi katika mkutano wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, uliofanyika leo kwenye viwanja vya Mbezi Centre, jimbo la Kibamba wilayani humo.

No comments:

Post a Comment