Saturday 5 September 2015

SAMIA AWAVURUGA WAPINZANI MAJIMBO YA KAWE, KINONDONI NA UBUNGO

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wake wa kampeni aliofanya leo katika eneo la Msasani jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam.
Wananchi wakimshangilia mgombea ,wenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, alipohutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam
 Mgombea Ubunge jimbo la Mtera na Mjume wa NEC, Livingstone Lusinde akihutubia mkutano wa kampni w Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, uliofanyika leo sasani jimbola Kawe jijini Dar es Salaam
Mdhanini wa mali za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Anna Abdallah, akihutubia mkutano wa kampeni wa mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, uliofanyika jimbo la Kawe Dar es Salaam
Aliyekuwa Spika wa Bunge la Katiba, Samwel Sitta akihutubia mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo katika jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam leo

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu, akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Ubungo, Dk. Didas Masaburi, katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo jijini Dar es Salaam.

Mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni, Iddi Azan akiomba kura wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment