![]() |
| RAIS Jakaya Kikwete akihutubia wananchi wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za kuwania urais wa Zanzibar, kwenye viwanja vya Gombani ya Kale, Pemba |
![]() |
| RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia mkutano wa kufunga kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Gombani ya kale. |
![]() |
| RAIS Jakaya Kikwete akisalimiana na Dk. Shein |
![]() |
| DK. Shein akisalimiana na Samia |
![]() |
| BAADHI ya wananchi waliohudhuria mkutano huo |
![]() |
| DK Shein akiteta jambo na Samia wakati wa mkutano huo |







No comments:
Post a Comment