![]() |
| HII ni sehemu ya umati wa wananchi waliohudhuria mkutano wa kufunga kampeni za kuwania urais wa Zanzibar, uliofanyika kwenye viwanja vya Kibanda Maiti, Zanzibar |
![]() |
| RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na mgombea mwenza wa urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan |
![]() |
| Dk. Shein akisalimiana na Rais mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi |
![]() |
| DK Shein akiteta jambo na Samia wakati wa mkutano huo |
![]() |
| Kijana wa kimasai akishangilia kwa staili ya aina yake wakati wa mkutano huo |
![]() |
| Mzee Mwinyi akiwahutubia wananchi wakati huo, kumuombea kura Dk. Shein |
![]() |
| Msanii Dogo Aslay akiburudisha mashabiki wakati wa mkutano huo |
![]() |
| Mgombea mwenza wa urais wa CCM, Samia akihutubia maelfu ya wananchi wakati wa mkutano huo |








No comments:
Post a Comment