| MAKAMU wa Rais Samia Suluhu Hassan, akishiriki kufanya usafi leo katika maeneo ya Kinondoni Morocco, Dar es Salaam, ili kutekeleza agizo la Rais John Magufuli la kuifanya siku ya leo, ambayo ni maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika, kufanyika usafi nchi nzima. Lengo ni kutekeleza kauli mbiu ya Uhuru na Kazi. |
No comments:
Post a Comment