| Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisafisha mtaro wa maji machafu kwenye soko kuu la Kariakoo jijini Dar es salaam Desemba 9, 2015 |
| WAZIRI Mkuu Majaliwa akisindikizwa na umati wa wananchi baada ya kuwasili kwenye soko la Kariakoo |
| Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akitoka eneo la shimoni kwenye soko kuu la Kariakoo kufanya usafi Desemba 9, 2015. Kulia kwake ni Mkuu wa wilaya ya Ilala, Raymond Mushi. |
| Waziri Mkuu,Kassim Majliwa akiwa amezongwa na wananchi wakati alipokwenda kwenye soko kuu la Kariakoo jijini Dar es salaam kufanya usafi Desemba 9, 2015. |
| Gari alilopanda Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa likitoka kwenye eneo la soko kuu la Kariakoo alikokwenda kushiriki katika kufanya usafi Desemba 9, 2015. |
No comments:
Post a Comment