Monday 7 March 2016

RAIS MAGUFULI AMWAPISHABALOZI KIJAZI

RAIS John Magufuli akimwapisha Balozi Injinia John Kijazi, kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Ikulu mjini Dar es Salaam jana.
RAIS John Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Balozi Kijazi na aliyekuwa katibu mkuu kiongozi, Ombeni Sefue

No comments:

Post a Comment