Sunday 21 August 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAJULIA HALI MZEE MALECELA, SPIKA NDUGAI NA MZEE WARIOBA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela wakati alipomjulia hali jijini Dar es salaam Agosti 19, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela wakati alipomjulia hali jijini Dar es salaam Agosti 19, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (wapili  kulia) wakizungumza na Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) na kewe Fatma Mganga Ndugai wakati wakati walipokwenda  nyumbani kwa Spika Salasala jijini Dar es salaam  Agosti 19, 2016  kumjulia hali.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde  Warioba wakati   alipomtembelea nyumbani kwake, Oysterbay jijini Dar es salaam Agosti 19, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment