Thursday 8 September 2016

RAIS MUSEVENI WA UGANDA ATUA NCHINI NA KUTETA NA RAIS MAGUFULI

Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake  huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam Septemba 7, 2017 leo jion  tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho
Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akitambulisha wasaidizi wake kwa Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam Septemba 7, 2017 leo jion  tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho
Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli na  Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni wakiwa na Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika mashariki, Kikanda na Kimataifa Dkt Augustine Mahiga na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Plilip Mpango mara mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam Septemba 7, 2017 leo jion  tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho
Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli katika mazungumzo na  Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam Septemba 7, 2017 leo jion  tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho

No comments:

Post a Comment