Tuesday 8 September 2015

MIKUTANO YA DK MAGUFULI TURIANI NA HANDENI

MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli akisoma bango la vijana wafanyabiashara wa eneo la Dumila, maarufu kama Feri, wakati akiwa njiani kwenda mkoani Tanga.
DK. Magufuli akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Kilindi, Omari Kigua, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika juzi Kwaluguru.
WANANCHI wakimsikiliza Dk. Magufuli, alipokuwa akimnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Mvomero, Sadiq Murad.
WAKAZI wa Turiani mkoani Morogoro, wakimsikiliza mgombea urais wa CCM, Dk. Magufuli.
KATIBU Mkuu mstaafu wa CCM, Yusuph Makamba, akiwahutubia wakazi wa Turiani mkoani Morogoro.
WANACHAMA wa CCM wakionyesha mabango ya mgombea ubunge wa jimbo la Mvomero, Sadiq Murad, wakati wa mkutano uliofanyika kwenye uwanja wa Kihalawa,Turiani, mkoani Morogoro.
WAKAZI wa Turiani mkoani Morogoro, wakimsikiliza Dk. John Magufuli kwenye mkutano wa kampeni
DK. Magufuli akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM, mgombea ubunge wa Jimbo la Handeni, Dk. Abdallaha Kigoda
DK. Magufuli akimnadi kwa wananchi mgombea ubunge wa Jimbo la Handeni Vijijini, Mboni Mhita.
WANANCHI wa Handeni wakishangilia jambo, wakati wa mkutano wa kampeni za CCM, uliofanyika juzi kwenye uwanja wa Azimio Center, mkoani Tanga

No comments:

Post a Comment