TAARIFA KWA
VYOMBO VYA HABARI
MCHEZO
MCHAFU ULIOFANYWA NA CHADEMA DHIDI YA MWANDISHI/MPIGAPICHA WA MAGAZETI YA
UHURU, MZALENDO NA BURUDANI
LEO ASUBUHI, MWANDISHI
AMBAYE PIA NI MPIGAPICHA WA MAGAZETI YA UHURU, MZALENDO NA BURUDANI
YANAYOCHAPISHWA NA KAMPUNI YA UHURU PUBLICATIONS, CHRISTOPHER LISSA, ALIPATA
TAARIFA ZA MAANDAMANO YA WALIOTAJWA KUWA WAFUASI WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA
MAENDELEO WALIOKUWA WAMEKUSUDIA KUANDAMANA
KWENDA MAKAO MAKUU YA CHAMA CHAO.
LISSA ALIMFAHAMISHA
MHARIRI WAKE JUU YA TAARIFA HIZO, AMBAPO MHARIRI ALIMTAKA KUFUATILIA TUKIO
HILO.
MWANDISHI HUYO ALIONDOKA
OFISINI SAA 2:50 ASUBUHI MPAKA KINONDONI ENEO LA MAHALI AMBAKO WAANDAMAJI
WALIKUWA WAMEPANGA KUANZIA MAANDAMANO YAO.
WAANMDAMANI JAI HAO
WALIVCHELEWA KUFIKA ENEO TAJWA NA ILITIMU SAA 5.00
NDIPO WAANDAMAJI HAO
WALIFIKA WAKIWA KWENYE BASI NA KUSHUKA
KUANZA MAANDALIZI YA MAANDAMANO HUSIKA.
Waandsamani ji hao waliazna
maandaamo muda mfyupi baadaye kuelekea of OFISI ZA MAKAO MAKUU YA CHAMA HICHO
ZILIZOPO MTAA WA UFIPA.
Huku WAKIWA NA MABANGO
YALIYOKUWA NA UJUMBE TOFAUTI AMBAPO MWINGI ULIKUWA UKIKEMEA KITENDO CHA MGOMBEA
URAIS WA CHADEMA, EDWARD LOWASSA, KUTUMIA UDINI KUOMBA KURA KANISANI.
ITAKUMBUKWA KWAMBA LOWASSA ALIOMBA KURA HIVI KARIBUNI ALIPOKUWA MJINI TABORA,
AMBAPO ALIFANYA HIVYO KATIKA KANISA LA LUTHERAN.
BAADA YA KUNDI HILO LA
WAANDAMANAJI KUFIKA, LILIKWENDA MOJA KWA MOJA HADI KATIKA MLANGO WA KUINGIA
KWENYE OFISI ZA CHAMA HICHO, AMBAPO MWANDISHI WETU ALIANZA KUTEKELEZA JUKUMU
LAKE AKIWA NA WAANDISHI WENGINE.
HATA HIVYO KATIKA HALI YA
KUSHANGAZA LISSA PAMOJA NA WAANDISHI WENZAKE WA HABARI WALIKAMATWA NA WALINZI
WA CHAMA HICHO, AMBAPO WENZAKE WALIACHIWA BAADA YA KUJITAMBULISHA KUWA WANATOKA
VYOMBO HIVYO VYA HABARI waliaznamkupigwa na .
Cha kushangaza lissa
alipojitambusha kuwa anatoka gazeti la uhuru ndipo waliposema kwamba ‘huyu
ndiye tuliyekuwa tunamtafuta’ na kuanza kumpigakwa ngumi magongo na vyuma na kumsababishia
majeraha na kuharibu kamera ya kamuni chuku suimu yakemkononi na wallet
iliyokuwa na jumla ya sh. 80,000.
Aidha alipokuwa akipigwa
wahusika walisikika wakisema tuwasubiri wakubwa na muda mfupi bbbadaye aliingia
msemaji wa chama, bonifasce makene, diwani wa ubungo chadema ambaye pia ana
jkesi ya kumshmambulia mlinzi wad k willibrod slaa muda huo huo pia
alipita mhe. John mnyika aliyekuwa na
kikao na waandishi wa habari.
Kwa mujibu wa mwandishi
lissa aliyeelekezana kumuingiza kwenye chumba cha mateso ni diwani huyo wa
Ubungo akiwa pamoja na wal;ionzi wengine ambao walikuwa wakimpiga.
Akiwa katika chumba hicho
aliendelea kupigwa na baadaye aliletewa kadi za CHADEMA na kuanza
kushururtiushwa kushika hizo kadi bnna atamke mbele ya kamera ya video
iliyokuwa ikimrekodi kwamba yeye ametrumwa na kinanan na viongozi wa CCm
kuandaa maandamano hayo,ambapo pamoja na kushurutishwa huko alikatta na
kushikilia msimamo wake klwamba alikuwa akitetejeleza majukumu yake ya uandishi
wa habari na si vinginvyo.
Wakiwa wanaaendelea
kumshurutisha ghafla waliingia polisi na watekaji walistuka na kumweleza
asiseme kwamba alikamatwa na yuko ndani, hivyo walimtoa na kutoka naye nje
pamoja na watu wengine huku akilindwa na walinzi wa chadema.
Polisi wakllipofika na kuomba
kufanya upelkuzi kutokan ana taarufa z akuwepo mwandishi wa Uhuru
anayeshikiliwa ndani ya ofisi, waliruhusiwa kufanya hivyo huku lisa akiwa nje
na walinzi wa chadema walionuonya kutojitambulisha ua kusema chochote wakati
wapolisi wakiwepo.
Eneo hilo.
Baada ya polisi kuondoka
walisikia wakisema kwamba dili yetu haijafanikiwa na kuingia nayde ndani tena
na kum,weliza Mnyika aliyekuwa akizungumz ana waandishi wa habari kwamba
wamemkamata mwandishi wa Uhuru ambaye ni muanmdaaji wa manadanamo hayo.
Badsaya kupta taarifa hiyo
mnyika aliwaambia waandishi wa habari wakati huo lisaambayu aliokuwa
ameshikishwa kadi nyingi za Chadema , alishurutishwa kusema kwamba ndiye
aliyeandaa maanamano hayo kwa vitisho kwambaasiposema hivyo hatatoka mzima.
Pamoja na vitisho hivyo
lissa alikataa na kushikilia msimano wake kwamba alifika eneo hilo kufanya kazi
yaske yas uandishi wa habari na sdi vinginvyo. Baadhi ya waqandisdhi walisikika
wakisma kwanini mwrmzao alikuwa akishurutisha kuserma maneno hayo.
Walinzi hao waonekana
kukiri kwamba zoezi lao limeshindikana wengine walitaka apige na hadi kufa ili
kupoteza ushahidi lakini wengine waligoma wakise hapo ni makao makuu ya chama,
baaada ya kuona hivyo walimruhusu aondoke na ndipo alipoondoka na gari
lililokuwa na waandishi wa habari wa azam moja kwa moja kuelekea kituo vca
polisi cha oysterbay ambako alitoa maelezo yake.
TUNASIKITIKA KWAMBA
CHADEMA WAMEAMUA KUFANYA SIASA CHAFU ZINAZOTUHUSISHA KATIKA HARAKATI ZAO AMBAZO
ZIMESHINDWA KUFANIKISHA KUWASHAWISHI WATANZANIA ILI WAWACHAGUE.
AIDHA, TUNALAANI VIKALI
KITENDO HICHO KILICHOFANYWA NA KUNDI LA MAOFISA NA WALINZI WA CHAMA HICHO
KUINGILIA UHURU WA HABARI. CHADEMA WAMEFANYA UNYAMA HUO DHIDI YA MWANDISHI
WETU, LAKINI CHAMA CHA MAPINDIZI HAKIJAWAHI KUFANYA HIVYO. HIVYO TUKIO HILI
LIMEONYESHA PICHA HALISI CHA CHAMA HICHO AMBACHO KINALILIA KUWAONGOZA
WATANZANIA.
WAKATI TUNALAANI UNYAMA
HUO, vitatoa mchango wake katika kumemea tukio hili, lakini pia tunaamini hatua
stahiki za vyombobo vya dolo ikiwemo polisi vitachukua hatua dhidi ya
waliohusika na unyama huo.
ccm hkamwer hakiwezi
kulipiza kisasi na kwamba kitaendelea kusisitisha siasa na kampeni safi katika
kipindi hiki cha uchaguzi mkuu. UPL inato pole kwa mwandishi wetu na kumtakia
matibabu mema.
RAMADHANI
MKOMA,
KAIMU
MHARIRI MTENDAJI,
UHURU
PUBLICATIONS LIMITED
No comments:
Post a Comment