![]() |
Mgombea urais wa CCM, Dk. John Magufuli akihutubia mkutano wa kampeni katika mji wa Karatu |
![]() |
Umati wa wananchi wa Karatu wakimsikiliza Dk. Magufuli |
![]() |
Dk. Magufuli akimtambulisha kwa wananchi mgombea ubunge wa CCM Karatu, Wilbrod Lorri |
![]() |
Dk Magufuli akimnadi mggombea ubunge wa jimbo la Hanang, Mary Nagu |
![]() |
Dk. Magufuli akisisitiza jambo wakati wa mkutano wa Karatu |
![]() | |
Sehemu ya umati wa wananchi waliofurika kumsikiliza Dk Magufuli Mbulu |
![]() |
Dk. Magufuli akisisitiza jambo kwa wananchi wakati wa mkutano wake uliofanyika Mbulu |
No comments:
Post a Comment