Monday 11 January 2016

RAIS MAGUFULI AIFARIJI FAMILIA YA MWALIMU NYERERE

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiagana na Mama Maria Nyerere, Mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alipokwenda nyumbani kwake Msasani, kumfariji kufuatia kifo cha mkwe wake marehemu Leticia Nyerere huko Maryland, Marekani.
RAIS Dk. John Magufuli akizungumza na familia ya Mwalimu Nyerere
RAIS Magufuli akiagana na familia ya Mwalimu Nyerere

No comments:

Post a Comment