Saturday 7 May 2016

MAKAMU WA RAIS ASALI SALA YA IJUMAA MSIKITI WA GHADAFI DODOMA




Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya Sala Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa GADAFFI Mkoani Dodoma Leo Mei 6,2016. (Picha na OMR)

No comments:

Post a Comment