Saturday, 30 July 2016

MAJALIWA, SAMIA, JAJI CHANDE WAMJULIA HALI SPIKA NDUGAI



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge , Job Ndugai  wakati alipokwenda nyumbani kwa Spika  jijini Dar es salaam kumsalimia  Julai 29, 2016. Mheshimiwa Spika amerejea nchini hivi karibuni akitoka India kwa matibabu. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Bunge)
 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge , Job Ndugai  wakati alipokwenda nyumbani kwa Spika  jijini Dar es salaam kumsalimia  Julai 29, 2016. Mheshimiwa Spika amerejea nchini hivi karibuni akitoka India kwa matibabu. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Bunge).
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai alipofika kumsabai nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam. Spika amerejea nchini hivi karibuni kutoka nchini India ambapo alikwenda kwa ajilia ya uchunguzi pamoja  na matibabu ya Afya yake.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai pamoja na Mke wa Spika Dkt. Fatma Mganga (kulia) alipofika kumsabai nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam. Spika amerejea nchini hivi karibuni kutoka nchini India ambapo alikwenda kwa ajili ya uchunguzi pamoja  na matibabu ya Afya yake.


 Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Mohamed Chande Othman akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai alipofika kumsabai nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mke wa Spika Dkt Fatma Mganga. Spika amerejea nchini hivi karibuni kutoka nchini India ambapo alikwenda kwa ajili ya uchunguzi pamoja  na matibabu ya Afya yake.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Mohamed Chande Othman aliyefika kumsabai nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam. Spika amerejea nchini hivi karibuni kutoka India ambapo alikwenda kwa ajili ya uchunguzi pamoja na matibabu ya Afya yake.

No comments:

Post a Comment