Tuesday 26 July 2016

MAMA SALMA NA MAMA JANET MAGUFULI


MKE wa Mwenyekiti mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Jakaya Kikwete, Mama Salma Kikwete (kushoto), akipunga mkono kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM, alipokuwa akiwasili kwenye ukumbi wa Dodoma Convention Center, juzi, akiwa amefuatana na Mke wa Rais Dk. John Magufuli, Mama Janeth Magufuli. (Picha na Emmanuel Ndege).

No comments:

Post a Comment