Saturday 3 December 2016

JPM ATEUA MABALOZI WAPYA 15



RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania Dkt. John PombeMagufuli, leotarehe 03 Desemba, 2016 amefanyauteuziwaMabalozi 15 ilikujazanafasizilizowazikatikaBaloziza Tanzania zilizopokatikanchimbalimbali.
TaarifailiyotolewanaKatibuMkuuKiongoziBalozi John KijaziimeelezakuwaMabalozihaowameteuliwakwaajiliyakuiwakilisha Tanzania katikavituovifuatavyo;
1.    Beijing        -    China
2.    Paris        -    Ufaransa
3.    Brussels    -    MakaoMakuuyaJumuiyayaNchizaUlaya
4.    Muscat        -    Oman
5.    Rome        -    Italy
6.    New Delhi    -    India
7.    Pretoria    -    AfrikayaKusini
8.    Nairobi    -    Kenya
9.    Brasilia    -    Brazil
10.    Maputo    -    Msumbiji
11.    Kinshasa    -    JamhuriyaKidemokrasiayaKongo
12.    Kampala    -    Uganda
13.    Abuja        -    Nigeria
14.    Moroni    -    Comoro
15.    Geneva    -    UmojawaMataifa
Aidha, Mhe. RaisMagufuliamefanyauteuziwaMabalozi6 kwaajiliyakuiwakilisha TanzaniakatikaBalozimpya 6 ambazozitafunguliwahivikaribunikatikanchizaAlgeria, Israel, Korea yaKusini, Sudan, Qatar naUturuki.
OrodhakamiliyaMabaloziwalioteuliwanikamaifuatavyo;
1.    BaloziMbelwa Brighton Kairuki
2.    Balozi Samuel W. Shelukindo
3.    Balozi Joseph E. Sokoine
4.    BaloziSilima K. Haji
5.    BaloziAbdallahKilima
6.    Balozi Baraka Luvanda
7.    BaloziDkt. James Alex Msekela
8.    BaloziMteule Sylvester MwakinyukeAmbokile
9.    BaloziMteulePindiChana
10.    BaloziMteuleDkt. Emmanuel J. Nchimbi
11.    BaloziMteule Rajab OmariLuhwavi
12.    BaloziMteuleLut. Jenerali (Mstaafu) Paul IgnaceMella
13.    BaloziMteule Grace Mgovano
14.    BaloziMteule Mohamed Said Bakari
15.    BaloziMteule Job Masima
16.    BaloziMteule Omar Yusuf Mzee
17.    BaloziMteule Matilda S. Masuka
18.    BaloziMteuleFatma M. Rajab
19.    BaloziMteule Sylvester M. Mabumba
20.    BaloziMteuleProf. Elizabeth Kiondo
21.    BaloziMteule George Madafa (Uteuzi wake ulishatangazwa)
Vituovyakazivyamabalozihawa 21 vitatangazwabaadaye.
Mabaloziwotewaliobakikatikavituoambavyosikatiyavituohivi 15 vilivyotajwawataendeleananafasizaozauwakilishiwa Tanzania katikavituowalivyopo.
Katikahatuanyingine, Mhe.RaisMagufuliamemhamishaBalozi Modest Jonathan Merokutokakituochake cha sasa cha Geneva, kwendaMakaoMakuuyaUmojawaMataifa(New York) ambakoatakuwaMwakilishiwaKudumuwa Tanzania katikaUmojawaMataifa.
Mhe.Balozi Modest Jonathan MeroanachukuanafasiyaMhe.BaloziTuvako M. Manongiambayeatastaafuifikapotarehe 06 Desemba, 2016.
Katikahatuanyingine, Mhe.RaisMagufuliamemteuaBibi Grace A. Martin kuwaBalozinaMkurugenziwaItifaki (Chief of Protocal) – Wizaraya Mambo yaNjenaUshirikianowaAfrikayaMasharikikuanzialeotarehe 03 Desemba, 2016.
KablayauteuzihuoBibi Grace A. Martin alikuwaakikaimunafasihiyo.
Wakatihuohuo, Mhe.RaisMagufuliamemteuaBalozi Peter KallaghekuwaAfisaMwandamiziMwelekezi – Mambo yaNjekatika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (National Defence College)
Kablayauteuzihuo, Balozi Peter KallaghealikuwaBaloziwa Tanzania nchiniUingerezahadimwanzonimwamwakahuu 2016.

GersonMsigwa
MkurugenziwaMawasilianoyaRais, IKULU
Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment