Monday 23 January 2017

KARIBU RAIS WA UTURUKI



WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa  na Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan  aliyefuatana na  mkewe, Emine Erdogan wakifurahia ngoma kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, jana. Majaliwa alimpokea Rais huyo kwa niaba ya Rais Dk. John Magufuli. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment