Tuesday 29 September 2015

DK SHEIN AZIDI KUCHANJA MBUGA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk.Ali Mohamed Shein, akihutubia wananchi na wanachama wa CCM wa Jimbo la Mtopepo katika mkutano wa kampeni uliofanyika juzi kwenye uwanja wa Garagara Wilaya ya Magharibi A Unguja
Mke wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, marehemu Abeid Amani Karume, Mama Fatma Karume, akiwaombea kura wagombea wa CCM wakati wa mkutano huo.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) na Waziri wa Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati, Ramadhan Abdalla Shaaban, akihutubia kwenye mkutano huo.
Dk Shein akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi, Unguja, Yussuf Mohamed Yussuf wakati wa mkutano huo.
Baadhi ya viongozi wa Chama na Serikali nao walikuwepo wakati wa mkutano huo
Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano huo
Nyomi ya wananchi
Nyomi

No comments:

Post a Comment