![]() |
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akihutubia umati wa wananchi katika mkutano uliofanyika kwenye jimbo la Kiteto mkoani Manyara |
![]() |
Wananchi waliohudhuria mkutano huo wakionyesha mabango yenye picha ya mgombea urais wa CCM, Dk. John Magufuli |
![]() |
Nchemba akiendelea kumwaga sera za CCM wakati wa mkutano huo |
![]() |
Wananchi wakinyoosha mikono juu kuashiria kuunga mkono hotuba ya Nchemba |
![]() |
Nchemba akiwasalimia wananchi baada ya kuwasili kwenye eneo la mkutano |
![]() |
Nchemba akiingia kwenye uwanja wa mkutano baada ya kushuka kwenye chopa |
![]() |
CCM oyeee. Ndivyo wanavyosema wananchi hawa wakati wa mkutano huo |
No comments:
Post a Comment