KIJANA aliyekuwa miongoni mwa viongozi wa kundi la '4 U Movement' lililokuwa linamuunga mkono Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond, Edward Lowassa, akipiga pus up, baada ya viongozi hao kutangaza kujiunga kundi la Magufuli Kwa Maslahi Mapana ya Umma'M4PI', mjini Mbeya, jana. (Picha na solomon Mwansele).
No comments:
Post a Comment