Saturday 21 November 2015

PICHA YA KIHISTORIA KWA WATANZANIA, HAIJAWAHI NA HAITAKUJA KUTOKEA KATIKA NCHI YOYOTE YA KIAFRIKA


RAIS John Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na marais wastaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi; wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa na wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete baada ya Magufuli kuhutubia na kulizindua bunge jana mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment