Monday 27 June 2016

DK. SHEIN AKUTANA NA KUTETA NA BALOZI WA JAMHURI YA KOREA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Tanzania,Song Geum-Young alipofika Ikulu mjini Unguja kwa mazungumzo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Tanzania Mhe,Song Geum-Young alipofika Ikulu mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Tanzania,Song Geum-Young alipofika Ikulu Mjini Zanzibar baada  mazungumzo yao.

No comments:

Post a Comment