Sunday 25 September 2016

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUTETA NA KINANA




Spika wa Bunge , Job Ndugai akimsikiliza  Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana,  alipomtembelea na kuzungumza naye katika  Ofisi Ndogo za CCM zilizoko Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge , Job Ndugai (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi  (CCM),  Abdulrahman Kinana (katikati)  na Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka (wakati alipomtembelea Katibu Mkuu wa CCM.

 

No comments:

Post a Comment