Thursday, 31 December 2015

SPIKA NDUGAI AREJEA NCHINI KUTOKA INDIA

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akipokewa na Naibu Spika, baada ya kurejea nchini jana kutoka India alikokwenda kwa ajili ya kupatiwa matibabu
SPIKA wa Bunge, Job Ndugai akisalimiana na baadhi ya maofisa wa Bunge baada ya kurejea nchini kutoka India

No comments:

Post a Comment