Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akiagana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kutoa pole nyumbani kwa marehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu zake akiwemo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete leo Jijini Dar es Salaam |
No comments:
Post a Comment