Sunday 31 January 2016

RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI MZEE MKAPA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mheshimiwa Benjamin Wiliam Mkapa. Rais Dkt. Magufuli alikwenda kumsalimia Rais mstaafu Mkapa nyumbani kwake Masaki jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment