Wednesday 13 April 2016

RAIS MAGUFULI ASHIRIKI KUUAGA MWILI WA CHRISTINA LISSU




Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha Maombolezo kufatia kifo cha Mbunge wa zamani wa Viti Maalum Chadema Christina Lissu Mughwai aliyefariki Aprili 7 mwaka huu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akiaga mwili wa marehemu Christina Lissu Mughwai aliyewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalum kutoka Chadema katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akimfariji Mwanasheria Tundu Lissu (Mb) kufatia kifo cha mdogo wake Christina Lissu Mughwai aliyefariki Aprili 7 mwaka huu.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimpa pole Mwanasheria Tundu Lissu (Mb) kufatia kifo cha mdogo wake Christina Lissu Mughwai aliyefariki Aprili 7 mwaka huu.

No comments:

Post a Comment