Friday 10 February 2017

MAKAMU WA RAIS AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI MJINI DODOMA


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri katika ukumbi wa TAMISEMI mjini
Dodoma leo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akipitia baadhi ya ajenda wakati  kikao cha Baraza la Mawaziri
mjini Dodoma.


 Mawaziri wakijadiliana jambo kabla kikao cha Baraza la Mawaziri hakijaanza
kutoka kushoto ni Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Profesa
Joyce Ndalichako, Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.
Nape Nnauye na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles
Mwijage.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira
Mhe. January Makamba akijadiliana jambo na Mawaziri wenzake muda mfupi
kabla ya kuanza kwa kikao cha Baraza la Mawaziri mjini Dodoma.

Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mwigulu Nchemba(kushoto),Waziri
wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama
(katikati) wakizungumza jambo na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip
Mpango muda mfupi kabla ya kuanza kikao cha Baraza la Mawaziri mjini

No comments:

Post a Comment